Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 41
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mambo ya shari aliyomwambia Swahaba Hudhayfa bunil-Yamany (r.a) kwamba yatatokea katika zama hizi, pia imezungumzia ushauri na wasia wa Mtume (s.a.w) kwa Hudheyfa (r.a). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.