Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 03
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza aliopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa Qur’an tukufu ambao unaitwa muujiza mkubwa, pia imezungumzia miujiza iliyomo ndani ya Qur’an, na namna makafiri walivyoshindwa kuleta mfano wa Qur’an. By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.