Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 12
islamicmedia.tv·1 view·16 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameanza kuzungumzia nafasi ya ukweli na uaminifu na umuhimu wa kutekeleza ahadi, pia ameeleza kisa cha safari ya nabii Issa na kijana wake, kisha akamalizia kwa kutaja mujiza wa mtume katika nyama yenye sumu aliyo kula. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.