Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 04
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ndani ya Qur’an aliyopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kupasuka mwezi, pia imezungumzia miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kulizuia jua, na kutoa maji katika vidole vyake Mtume (s.a.w). By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.