Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 02
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miujiza ni kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu na imebainisha tofauti kati ya karama na uchawi, na kwamba karama inakua kwa mtu mwema na uchawi ni kwa mtu muovu, pia inazungumzia miongoni mwa dalili za miujiza. By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.