Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 08
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mti kushuhudia kuwa Allah ni mmoja na Muhammad (s.a.w) ni Mtume wa Allah mbele ya Bedui (Mwarabu wa mashambani), pia imezungumzia vitimbi alivyofanyiwa Mtume (s.a.w). By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.