Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 26
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni utabiri wake juu ya ushindi katika kikosi alicho kiongoza Ally bin Abi Twalib (r.a), pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) ktk kuponya walio pooza katika maswahaba(r.a). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.