Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 06
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kukithirisha chakula yaani chakula kidogo kukifanya kingi, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) wa kukithirisha chakula uliotokea kwa Swahaba Abuu Twalha na Jabir (r.a). By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.