Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 16
islamicmedia.tv·1 view·16 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) imezungumzia muujiza wa mtume katika vita vya Hunaini alipo rusha mchanga kila mtu ukampata kila adui ule mchanga wakakimbia, pia katika miujiza ya mtume ni miujiza ya dua, pia amezungumzia mujiza wa kuomba mvua. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.