Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 48
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni ule wa kulia machozi nguzo ya mtende wakati Mtume (s.a.w) alipokua akitoa khutba katika Msikiti wa Madina, pia imezungumzia kuwa Mtume (s.a.w) ndiye mwenye miujiza mingi kuliko mitume wote. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.