Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 10
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wakati akila chakula na Maswahaba wake na chakula kile kikawa kinamtaja Allah, pia imezungumzia muujiza wa mbwa mwitu kutoa habari za Mtume Muhammad (s.a.w) kwa mchunga mbuzi. By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.