Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 09
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotekea wakati wa kukidhi haja katika jangwa la Afiyah, pia imezungumzia muujiza ambao jiwe lilikua likimtolea salam Mtume (s.a.w) kabla ya kupewa utume. By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.