Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 36
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni Muujiza uliotokea kwa Khaatwib bin Abi Balta’a (r.a) alipoandika barua na kuituma Mkka ili kutoa siri ya kivita, Mtume (s.a.w) akajua kabla barua haijafika Makka. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.