Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 38
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea kwa Abuu Jahli alipotaka kumdondoshea jiwe Mtume (s.a.w) wakati akiswali, lile jiwe likamng’ang’ania mikononi, pia imezungumzia muujizaa Mtume (s.a.w) uliotokea kwa Fudhwaala bin Ubaad (r.a). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.