Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 30
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni dua aliyomuombea Swahaba Abdi LLahi bin Abbas (r.a) ya kwamba Allah amzidishie elimu, pia imezungumzia umuhimu wa kujifunza kupitia miujiza ya Mtume (s.a.w). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.