Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 32
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kutemea mate katika kisima cha Anasi bin Maliki (r.a) maji yale yakawa matam kuliko visima vote vya Madina, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) kwa Ukasha (r.a) wa kubadilisha mti kugeuka upanga vitani. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.