Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 31
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya dua za Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea katika dua aliyomuombea Utba bin Abi Lahbi baada ya kumfanyia maudhi Mtume (s.a.w), pia imezungumzia hatari ya kumuudhi Mtume (s.a.w). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.