Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 42
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyosema kwamba hakitosimama kiyama ila watatokea watu waongo watakaodai Utume, pia imezungumzia vita aliyopigwa Musailama Al-kadhaab baada ya kudai Utume. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.