Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 20
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameleza muujiza wa mtume kuwa amani itaenea, na itafunguliwa nchi ya Kisraa, na kuenea kwa mali, pia katika miujiza ya mtume ni kauli yake kuwa ukhalifa utakuwa miaka 30 kisha utakuwa ufalme. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.