Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 01
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na imebainisha tofauti kati ya miujiza ya Manabii waliopita na miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia tofauti kati ya muujiza na karama, na sababu ya Mitume kupewa miujiza. By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.