Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 37
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyombashiria mwanae Fatwima (r.a) kwamba baada ya kufa Mtume (s.a.w) yeye ndiye atakaekuwa wa kwanza kumfuata katika familia yake, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) kwa Abuu Jahli baada kumdhulum mtu ngamia. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.