Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 34
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kwamba aliyomuombea dua Qaisi bin Zaidi (r.a) kisha akapangusa kichwa chake sehem ile aliyoigusa Mtume (s.a.w) haikuota mvi mpaka anakufa, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.w.a) kwa Abuu Hurera (r.a). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.