Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 39
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyosema wakati wa uhai wake Mtume (s.a.w) na yakatokea baada ya kufa kwake, miongoni mwa hayo ni maneno aliyosema kwamba zitakuja zama za fitna na watu watauana sana. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.