Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 44
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu waliodai Utume ni Milza Ahmadi Alkaadiyan aliyedai kwamba anapata wahyi kutoka mbinguni, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) aliposema kwamba utakithiri ujinga katika zama hizi na elimu itashuka. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.