Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 40
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kwamba mambo aliyoacha amesema kuwa yatatokea zama hizi yamesha tokea, pia imezungumzia umuhimu kwa waislamu kufanya bidii katika kutenda matendo yaliyo mema. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.