Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 23
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wakati akijibu maswali ya Myahudi, pia imezungumzia mambo tisa aliyoulizwa Mtume (s.a.w) na Mayahudi, yaliyokuwa wakati wa Nabii Mussa (a.s). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.