Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 35
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kuzungumzia mambo ambayo ni ya ghaibu kama alivyo wabashiria Maswahaba pepo na kuwaeleza fitna zitakazo wapata waka wa ukhalifa, pia imezungumzia umuhimu wa muislam kujiepusha na fitna. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.