Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 47
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Maneno mazito ya Mtume (s.a.w) aliyosema akiwa Arafa katika Hijja yake ya mwisho, alisema ichukueni elimu kabla haijaondoka, pia imezungumzia umuhimu wa kushikamana na Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w). By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.