Lectures & RemindersVideo
Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 18
islamicmedia.tv·1 view·16 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) amebainisha kuwa elimu ya ghaibu ni maalumu kwa Allah na anaweza kuwambia anao wataka katika mitume, kisha ametaja miujiza ya mtume katika mambo ya ghaibu, na amemaliza kwa kutaja aina za miujiza katika mambo ya ghaibu. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.