Sherhu Umdatul Ahkam 03
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Shekh anazungumzia: Wadhfa wa Hadithi za Mtume (s.a.w) na kwamba zinaweka wazi na kufafanua namna ya utekelezaji wa amri za Qur’an tukufu, pia amezungumza maneno ya Imamu Suyutwi kuhusu cheo cha hadithi za mtume(s.a.w). By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.