Sherhu Umdatul Ahkam 11
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Shekh anazungumzia: mlango wa kwanza katika kitabu cha Umdatul Ahkam, kisha akabainisha maana ya twahara, kisha akaanza kusherehesha hadithi yakwanza na kutaja historia fupi ya maisha ya Omar bin Khatwab kwa ufupi (r.a). By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.