Sherhu Umdatul Ahkam 25
islamicmedia.tv·1 view·1 day ago
Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya sita, amebainisha kauli za wanachuoni kuhusu najsi ya mbwa, kisha akabainisha uwajibu wa kutumia mchanga katika kuosha najsi, kisha akabainisha faida katika hadithi hii: kwamba najsi ya mbwa na nguruwe ni najsi nzito, mbwa akilamba katia chombo kinakuwa najsi. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.