Sherhu Umdatul Ahkam 20
islamicmedia.tv·1 view·1 day ago
Shekh anazungumzia: umuhimu wa kutawadha vizuri, na uhatari wa kuharakisha kutia udhu, kisha amewahusia watu waoshe viungo vizuri wakati wa kutawadha, katika hadithi: Udhu ni katika matendo mema, miguu inaoshwa katika kutawadha, mwenye kuacha mabaka katika kutawadha ataadhibiwa. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.