Sherhu Umdatul Ahkam 26
islamicmedia.tv·1 view·1 day ago
Shekh anazungumzia: ufafanuzi wa hadithi ya sita na yasaba, kuhusu na najsi ya mbwa, kisha amebainisha mbwa anaefaa kufugwa, kisha akabainisha namna ya kusafisha najsi ya mbwa, na akasema kuwa hadithi ya sita na ya saba zinabainisha kuwa mbwa ni najsi. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.