Sherhu Umdatul Ahkam 10
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Shekh anazungumzia: Jinsi zilivyo kusanywa hadithi, kisha amebainisha namna ya kusherehesha hadithi ikiwemo kusoma hadithi kisha kufafanua maneno ya kiarabu kisha kubainisha faida zilizo patiana katika hadithi. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.