Sherhu Umdatul Ahkam 08
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Shekh anazungumzia: riwaya ya Imamu shafy kwamba asiye tumia hadithi za Mtume (s.a.w) ni sawa na mkristo, kisha ametaja uwajibu wa kuwachukia wanao kanusha maneno ya Mtume (s.a.w) kisha akataja dalili za kiakili zinazo thibitisha kuwepo kwa hadithi za Mtume (s.a.w). By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.