Sherhu Umdatul Ahkam 24
islamicmedia.tv·1 view·1 day ago
Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya tano ameleza faida za hadithi ikiwemo, kujuzu kujitwaharisha katika maji yanayo tembea na inajuzu kukidhi haja katika maji yanayo tembea kwa dharura. Kisha amebainisha hadithi ya sita inayo zungumzia namna ya kuosha chombo kilicho lambwa na mbwa na nguruwe kisha ametaja taratibu za kufuga mbwa. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.