Sherhu Umdatul Ahkam 16
islamicmedia.tv·1 view·1 day ago
Shekh anazungumzia: Maana ya hadithi kwa ujumla kisha historia fupi ya Swahaba Abuu Hurayra, kisha akabainisha maana ya kauli ya Mtume (s.a.w): (hakubali) katika hadithi, kisha akaweka wazi tofauti baina ya hadath na najsi. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.