Sherhu Umdatul Ahkam 07
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Shekh anazungumzia: Itikadi mbaya za wanao pinga hadithi za Mtume (s.a.w) na kwamba wanao pinga hadithi za mtume (s.a.w) ni Mazindiq na ni Mashia, kisha akazungumzia kwa ufupi kuhusu itikadi zao chafu. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.