Sherhu Umdatul Ahkam 22
islamicmedia.tv·1 view·1 day ago
Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya tano ambayo imeelezea makatazo ya kuoga katika maji yalio tuwama mahala pamoja, kisha akabainisha maana ya maneno ya hadithi na tafsiri ya hadithi kisha akafafanua kuhusu upokezi wa hadithi hii. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.