Lectures & RemindersVideo
Umuhimu Wa Imani 02
islamicmedia.tv·1 view·18 hours ago
Mada hii inazungumzia: Kuipenda dunia na kuiacha Qur’an tukufu ni katika sababu za kudhoofika umma wa kiislam katika jamii, pia imezungumzia namna gani Maswahaba walivyokuwa wakifundishwa Qur’an na Mtume (s.a.w). By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.