Lectures & RemindersAudio
Mwandamo Wa Mwezi
islamicmedia.tv·1 view·5 hours ago
Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w) By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.