Lectures & RemindersAudio
Umuhimu Wa Tawhidi
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii inazungumzia umuhimu wa tamko la twuhiid (Lailaha Illa Allah),na lengo la kuumbwa kwetu, na aya zilizo bainisha lengo la kuumbwa kwetu,na sababu ya kutumwa mitume,na maana ya twaghuti,na malipo ya atakae kufa na tawhiidi ya (Lailaha Illa Allah). By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.