Umuhimu Wa Tawheed
islamicmedia.tv·1 view·5 hours ago
Mada hii inazungumzia:Utukufu wa muislam kuwa na lailaha Illa Allah katika maisha yake, na mambo mengi alio yafanya Allah kwasababu ya neon hilo, na kuna habari njema kuwa mwenye kufa bila kufanya ushirikina ataingia peponi. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.