Lectures & RemindersAudio
Sifa Ya Swala Ya Mtume (S.A.W)
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii inazungumzia nanma ya kuadhini na fadhila za adhana na sifa za muadhini,na ubora wa kusoma duwa baada ya adhana na sababu za kukubaliwa dua.na sifa ya swala ya mtume alayhi salam. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.