Lectures & RemindersAudio
Uislam nidini ya kati na kati
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii inazungumzia uislam nidini ya kati nakati,yani nidini ya uadilifu, na namna uislam ulivyo piga vita ghuluu.mifano ya uadilifu wa mtume(s.a.w)na tofauti baina ya uislam na dini zingine potovu. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.