Lectures & RemindersAudio
Sampuli Za Kuhama Katika Uislam
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii inazungumzia: Namna za kuhama katika uislam, kabainisha maana ya kuhama sifa za maswahaba wa Madina na wale walio hama kutoka Makkah kwenda madina,na sababu ya kuhama. By: Swalehe Ibrahim, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Swalehe Ibrahim, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.