Umuhimu Wa Imani 07
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanya imani izidi ni muislamu kudumu katika kuisoma Qur’an tukufu, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya da’awa kama walivyofanya Maswahaba (r.a.w). By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.