Umuhimu Wa Imani 11
Mada hii inazungumzia: Hatari ya kuzua jambo katika dini ya Mwenyezi Mungu na umuhimu wa kufuata Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia uwajibu wa kutafuta elimu kwa kila Muislamu. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.