Lectures & RemindersVideo
Umuhimu Wa Imani 08
islamicmedia.tv·1 view·18 hours ago
Mada hii inazungumzia: Mipango ya makafiri juu ya kuuangamiza uislamu na kwamba ni mipango ya muda mrefu, pia imezungumzia umuhimu wa waislamu kujidhatiti katika vyuo, misikitiki na majumbani ili kuwajenga vijana wa kiislamu katika imani ya kweli. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.